Diamond plutnum baada ya kuulizwa anazichukulia kwa namna gani tetesi hizo za kuhusu Ali kiba kutaka kusainisha wanahabari wake kutoka wasafi media na kuhamia Crown media alijibu haya...
"Ukiona mtu ameondoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine basi atakuwa amewekewa ofa nzuri, na hilo ni jambo jema na zuri kwa sababu mimi binafsi napenda kuona mtu akipiga hatua moja kwenda nyingine ya kujiendeleza kimaisha." "Sioni shida mtu akihama wasafi na kujiunga na Crown"